MKUTANO MKUU WA 10 WA KAUKI

MKUTANO MKUU WA 10 WA KAUKI
Tangazo la Mkutano Mkuu wa 10 wa KAUKI

KAUKI-Kidamali, Iringa

KAUKI-Kidamali, Iringa
Mkutano Mkuu wa 10 wa KAUKI

Thursday, April 11, 2013

MAENDELEO YA KAUKI KATIKA KANDA –2007 KATIKA KUSHIRIKIANA



Kanda
Uhamasishaji
Mwitikio
Ushirikiano
mafanikio
Matatizo
Dar es Salaam
Duni/finyu
Hakuna maendeleo
Watu wavivu kufika katika vikao
Duni: Visingizio vingi mfano kukosa muda (busy); kukosa fedha
Ni mdogo hususani kuona wagonjwa; na pia wakati wa matatizo, watu hawajitoi kwa hiari
Hakuna
Mwitikio duni ni tatizo sugu.
Visingizio/Sababu haviishi
Ilole
Hawatoi fedha bila stakabadhi
Hawajaelewa dhana zima ya Umoja wa Ukoo wa Kivenule
Duni: Hawaitikii kwenye mikutano au vikao
Duni
Wanashiriki kikamilifu
Tatizo la kushiriki kwa ni kutoa fedha kidogo sana mfano shilingi mia moja (100/=)au mia mbili (200/=)
Mgongo/ Nduli na Itagutwa
Viongozi wanahamasisha;
Ndugu hawaelewi;
Wanaomba viongozi wa KAUKI watembelee kusaidia kuhamasisha
Upo wa wasiwasi
Hawatekelezi
Kidogo mzuri.
Misiba wanaukoo wanashiriki kikamilifu
Ushiriki katika matatizo upo
Stakabadhi zinahitajika
Mwitikio hauridhishi.
Imani kwa viongozi wao bado ni mdogo. Wanahitaji stakabadhi ili kutoa michango na malipo mbalimbali.
Magubike
Mzuri isipokuwa Ibogo
Mzuri
Upo katika matatizo na raha. Lakini bado kuna tatizo katika kuona wagonjwa
Yapo
Kidogo
Kidamali
Mzuri. Wanashiriki kikamilifu na vizuri
Duni hususani katika michango; na pia mwitikio katika vikao sio mzuri
Ushirikiano katika matatizo mfano misiba, ugonjwa ni mzuri,
Yapo kwa kiasi kikubwa
Kiasi Fulani bado kuna upinzani katika kutoa michango ya mwezi na pia ya Mikutano Mikuu
Nyamahana





Igangimale







Tuone hali kwa sasa. Hali ikoje?

No comments:

Post a Comment