Baadhi ya madhumuni na malengo ya
kuanzisha kwa Umoja wa Ukoo wa Kivenule (KAUKI) ilikuwa ni pamoja na kutunza
kumbukumbu mbalimbali kwa njia ambazo tunaamini zinafaa na za uhakika. Mojawapo
ya njia hiyo ya utunzaji wa kumbukumbu ilikuwa ni kuchapisha kitabu
kitakachozungumzia chimbuko na historia ya ukoo wa Kivenule.
Baada ya kukusanya taarifa za Ukoo wa Kivenule
katika mikutano mitatu hadi hivi leo, na pia katika mkutano huu wa nne wa KAUKI,
tunaamini tumepata taarifa ambazo zinauhakika kwa kiasi cha asilimia 60% ambazo
zinaweza kutoruhusu kufikiria kuandika kitabu. Baada ya kufanya kazi hiyo
katika vipindi vyote hivyo vya miaka mitatu, hatua zifuatazo zimependekezwa na
wajumbe au washiriki wa Mkutano Mkuu wa Nne mnatakiwa kuzijadili na kutoa
mawazo yenu pale inapobidi.
1.
Kuzikusanya taarifa zote za Ukoo wa Kivenule ambazo tayari zimepatikana
katika mikutano mitatu pamoja na huu wa nne.
2.
mchakato wa kuanza kuandika Kitabu cha Umoja wa Ukoo wa Kivenule
(KAUKI) uanze mara moja, baada ya kufanya mkutano huu wa nne.
3.
Iundwe kamati itakayoratibu kazi ya Uandishi wa Kitabu.
4.
Taarifa za Wanaukoo zikusanywe kwa njia ya Sensa. Tayari Ilole na Nduli
walikwisha kusanya taarifa hizo. Ila itabidi wazipitie ili kufanya marekebisho
pale inapobidi.
5.
Uandaliwe Mpango Kazi wa Uandishi wa Kitabu ukionesha mgawanyo wa
majukumu kwa kila anayehusika.
6.
Zibainishwe Sehemu Kuu za Kitabu pamoja na idadi ya Kurasa.
Mapendekezo
- Idadi ya Kurasa
-
Sura
-
Sehemu
- Ukubwa wa Kitabu (Saizi)
-
A5 saizi
-
4A saizi
-
Au vipimo vingine ambayo
wajumbe watapendekeza
- Rangi ya Ukurasa wa Nje.
7.
Mwisho, kila mshiriki atoe mchango wa mawazo namna ya kuweza
kufanikisha mradi huu.
MCHAKATO
WA KUANDIKA KITABU CHA KAUKI
1. Kamati ya Kuratibu Kazi ya Uandishi wa Kitabu
Kamati ya kuratibu mchakato wa uandishi
wa Kitabu cha Umoja wa Ukoo wa Kivenule (KAUKI) iliundwa wakati wa Mkutano Mkuu
wa Nne wa KAUKI. Wajumbe wafuatao wanaunda kamati hiyo:
Irole
§
Bw. Thadei Nyakunga
§
Bi. Sophia Ngimba
Kidamali
§
Bw. George Kivenule
§
Bi. Castiria Nzala
Nduli
§
Bw. Gipson Kitu
§
Bi. Anna Kivenule
Dar
es Salaam
§
Bw. Ignas Kivenule
§
Bi. Michelina Kivenule
Wajumbe wengine watakaoshiriki katika
mchakato wa kuandika kitabu ni:
§
Viongozi wa KAUKI
§
Walezi
2. Ukusanyaji wa Taarifa za Wanaukoo
3. Mpango Kazi wa Uandishi wa Kitabu
No
|
Shughuli na makumu kwa wajumbe na kamati
|
2008
|
2009
|
||||||||
Sep
|
Okt
|
Nov
|
Des
|
Jan
|
Feb
|
Mar
|
Apr
|
Mei
|
Jun
|
||
1.
|
Uundaji wa Kamati: Kushughulikia mchakato wa uandikaji na
uchapaji wa Kitabu cha KAUKI
|
³
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
2.
|
Kukusanya Taarifa kwa ajili ya kitabu cha KAUKI:
Bwana Israel Mposiwa
anaweza kusaidia upatikana wa taarifa za Historia ya Vita vya Makabila na
Mwenendo wa Mkwawa. Habari za Luhota. Majina ya Tagumtwa na Mtengelingoma
Balama na historia kwa ujumla ya Wahehe
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
3.
|
Kuwasilishwa kwa taarifa mbalimbali zilizokusanywa
kwenye Kamati ya kuratibu mchakato wa uandikaji wa kitabu
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
4.
|
Kamati kukutana na kujadili taarifa zilizokusanywa
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Taarifa za kwenye plan
Chimbuko la Balama
Habari za Luhota
Sehemu za Kitabu
Kukusanya taarifa
Kadirio la gharama = 500,000/=
Kujadili gharama za kuprinti kitabu
Kuhariri
Kudizaini (design)
Ukubwa wa kitabu saizi (A5)
Sehemu za Kitabu
Sehemu ya Kwanza;
Sehemu ya Pili: Tavimyenda na Kalasi
Kivenule
Sehemu ya tatu: Umoja wa Ukoo wa KIvenule
(KAUKI)
Uwingi wa
Sura: Utategemea uwingi wa taarifa
4.
Sehemu Kuu
za Kitabu
No comments:
Post a Comment