KAUKI NI
NINI? Ni Umoja wa Ukoo wa Kivenule, ulioanzishwa rasmi mwaka 2005,
kukabiliana na changamoto mbalimbali za maendeleo, zinazoikabili jamii
inayounda umoja huu; hususani katika kujikwamua na ugumu wa maisha na pia
kutumia fursa zinazopatikana ili kukabiliana na kuondokana na wimbi la
umaskini, ujinga, maradhi na utegemezi.
DIRA YA
KAUKI: Ni kuwa na jamii elewa, angavu na inayowajibika kwa kujitegemea
MAONO YA
KAUKI: Ni kujengeana
uwezo kwa kutumia raslimali, stadi, ujuzi, maarifa na weledi, kupitia mafunzo, kongamano,
mijadala na mikutano
LENGO KUU
LA KAUKI: Ni
kuinua na kuboresha maisha ya wanaukoo, kielimu, kiuchumi na kisayansi kwa
kutumia ujuzi, maarifa na raslimali zinazotuzunguka. Mipango ya KAUKI inajikita katika kujiimarisha katika ngazi zote
za kiutendaji, kiuendeshaji na kuleta mabadiliko ya kiuchumi, kielimu, kisiasa,
kimaendeleo na kimapinduzi.
MUUNDO WA KAUKI: KAUKI
inaundwa na Kanda Sita za Kidamali, Irore, Nduli, Magubike, Mufindi na Dar eS
Salaam. Mkutano Mkuu wa KAUKI hufanyika mara moja kila mwaka. Pia kuna mikutano
ya Kamati ya Utendaji. Kuna Uongozi wa KAUKI na Viongozi wa Kanda
MAHALI UNAPOFANYIKA MKUTANO: Kanda ya Kidamali, Iringa Vijijini
TAREHE YA MKUTANO: Jumamosi na Jumapili ya tarehe 29 - 30 Juni 2013
WAALIKUWA KWENYE MKUTANO: Ndugu,
Wanaukoo, Wageni Waalikwa na Wadau wa Maendeleo
MAHITAJI YA MKUTANO: Chakula, Maji, Kalamu, Daftari, Chati Mgeuzo, Makapeni na
Manila
OMBI LA MICHANGO: KAUKI inaomba michango ya Fedha Taslimu, Nafaka
(Mahindi, Unga, Maharage, Kunde, Karanga, Mchele); Mifugo (Kuku, Bata, Mbuzi
nk); Kuni; Mkaa; Mafuta ya Kula; Mafuta ya Taa; Chumvi, Sukari, Unga wa Ngano
Nk.
TAARIFA NA MAWASILIANO: Simu: 0787826614, 0714 146382, 0787 843561, 0713 270364, 0658843565
Tovuti: www.tagumtwa.blogoak.com
/ www.kauki-kauki.blogspot.com / www.tagumtwafoundation.wetpaint.com /
www.facebook.com/tagumtwa Barua pepe:
tagumtwa@gmail.com / kauki2006@gmail.com / tagumtwa.kauki@gmail.com
Mawasiliano Kanda ya
Kidamali
|
|
UONGOZI WA KAUKI
|
Kamati ya Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa
9 wa KAUKI
1.
George
S. Kivenule-Mwenyekiti wa Kamati-0787826614
2.
Jovin S. Kivenule - Katibu wa Kamati-
3. Donath P. Mhapa-Mwenyekiti
KAUKI-0658843565
4. Justin D. Kivenule-Mweka Hazina-0787
843561
|
1
|
Donath P.
Mhapa-Mwenyekiti 0658843565
|
2
|
Adam A.
Kivenule-Katibu 0713 270364
|
|
3
|
Christian J.
Kivenule-Makamu Mwenyekiti 0714 146382
|
|
4
|
Justin D.
Kivenule-Mweka Hazina-
0787 843561
|
|
|
|
No comments:
Post a Comment