Kanda
|
Uhamasishaji
|
Mwitikio
|
Ushirikiano
|
mafanikio
|
Matatizo
|
Dar
es Salaam
|
Duni/finyu
Hakuna maendeleo
Watu wavivu kufika katika
vikao
|
Duni: Visingizio vingi mfano
kukosa muda (busy); kukosa fedha
|
Ni mdogo hususani kuona
wagonjwa; na pia wakati wa matatizo, watu hawajitoi kwa hiari
|
Hakuna
|
Mwitikio duni ni tatizo
sugu.
Visingizio/Sababu haviishi
|
Ilole
|
Hawatoi fedha bila
stakabadhi
Hawajaelewa dhana zima ya
Umoja wa Ukoo wa Kivenule
|
Duni: Hawaitikii kwenye
mikutano au vikao
|
Duni
|
Wanashiriki kikamilifu
|
Tatizo la kushiriki kwa ni
kutoa fedha kidogo sana
mfano shilingi mia moja (100/=)au mia mbili (200/=)
|
Mgongo/ Nduli na Itagutwa
|
Viongozi wanahamasisha;
Ndugu hawaelewi;
Wanaomba viongozi wa KAUKI
watembelee kusaidia kuhamasisha
|
Upo wa wasiwasi
Hawatekelezi
|
Kidogo mzuri.
Misiba wanaukoo wanashiriki
kikamilifu
|
Ushiriki katika matatizo upo
Stakabadhi zinahitajika
|
Mwitikio hauridhishi.
Imani kwa viongozi wao bado
ni mdogo. Wanahitaji stakabadhi ili kutoa michango na malipo mbalimbali.
|
Magubike
|
Mzuri isipokuwa Ibogo
|
Mzuri
|
Upo katika matatizo na raha.
Lakini bado kuna tatizo katika kuona wagonjwa
|
Yapo
|
Kidogo
|
Kidamali
|
Mzuri. Wanashiriki
kikamilifu na vizuri
|
Duni hususani katika
michango; na pia mwitikio katika vikao sio mzuri
|
Ushirikiano katika matatizo
mfano misiba, ugonjwa ni mzuri,
|
Yapo kwa kiasi kikubwa
|
Kiasi Fulani bado kuna
upinzani katika kutoa michango ya mwezi na pia ya Mikutano Mikuu
|
Nyamahana
|
|
|
|
|
|
Igangimale
|
|
|
|
|
|
Tuone hali
kwa sasa. Hali ikoje?
No comments:
Post a Comment