Wana-KAUKI katika moja ya shughuli za kijamii, kutoka kushoto ni Mke wa Onesmo Kivenule, Onesmo Kivenule, Bi Anyesi Sigatambule Kivenule na Bi Asia John Kivenule |
Hawa wote ni Kivenule Hazina ya KAUKI, wakiwa katika sherehe ya kijamii, kutoka kushoto ni Magreth,..., Frank, Theopista, Emmanuel na Lucy |
Ndugu Onesmo Kivenule katikati akiwa na Shangazi yake Kulia na Mke wake Kushoto katika moja ya hafla |
Kutoka Kushoto ni Ndugu Innocent Kivenule, Ignus Kivenule na Delfinus Kivenule |
Wana-KAUKI wakiwa katika Vikao vya Kijamii |
Hii ni moja ya maombolezi ya msiba wa Mama Mzazi wa Katibu wa KAUKI huko Mseke Iringa |
Hapa ni nyumbani Mafinga kwa Katibu wa sasa wa KAUKI, ilikuwa ni wakati wa msiba wa Mama yake Mzazi |
Wana-KAUKI katika mmoja ya mikutano ya KAUKI iliyofanyika Katika Kanda ya Kidamali |

Ndugu Donath Mhapa, Mwenyekiti wa KAUKI |
Mzee William Kivenule na Ndugu Christian Kivenule wakibadilishana mawazo katika Mkutano Mkuu wa 8 wa KAUKI uliofanyika Jijini Dar es Salaam, mwaka 2012 |
Mwenyekiti wa KAUKI na Mweka Hazina wa Kanda ya Dar es Salaam, wakibadilisha mawazo wakati wa Mkutano Mkuu wa KAUKI Kanda ya Dar es Salaam, 2012 |
Wana-KAUKI kutoka Kanda ya Dar es Salaam wakibadilishana mawazo kabla ya kuanza mkutano wa KAUKI uliofanyika Katika Kanda ya Dar es Salaam |
Wana-KAUKI katika mmoja ya mikutano ya KAUKI iliyofanyika Katika Kanda ya Dar es Salaam |
Mzee William Kivenule kutoka Kidamali. Ni mmoja wa watoa mada katika Mikutano ya KAUKI. Ni mtu muhimu sana. |
Vema na haki mtaalamu wetu wa IT ndg. Adam Alphonce Kivenule. Picha na maandishi vinaishi. Tuzidi kuboresha Umoja wetu wa Kivenule
ReplyDelete