Siku ya Kwanza ya
Mkutano Mkuu – Kidamali, Iringa: Tarehe 29 Juni 2013
|
||
Muda
|
Shughuli/Jukumu
|
Wahusika
|
12.00 – 12.45
|
Kuamka
na Kufanya Maandalizi ya Kuingia kwenye Mkutano
|
Washiriki Wote
|
12.45 – 01.15
|
Kupata
Kifungua Kinywa
|
Washiriki
wote
|
01:15 – 02:00
|
Kuwasili
Mkutanoni na Kujisajili na kupata Vitambulisho
|
Washiriki
wote
|
02.00 – 02.20
|
Hotuba ya Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Tisa
wa KAUKI
|
Mwenyekiti wa KAUKI/Mwenyekiti wa Kamati ya
Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa 9
|
02.20-02.45
|
Ufunguzi
Rasmi wa Mkutano na Mgeni Rasmi
|
Mgeni
Rasmi
|
02.45-03.15
|
Utambulisho
baina wa Ndugu na Wageni Waalikuwa
|
Wote
|
03.15 - 04.00
|
Mada I: KAUKI NI NINI? LENGO KUU, MALENGO MAHSUSI,
MUUNDO, JUKUMU LA KILA MWANA-KAUKI NA UENDESHAJI WAKE
Washiriki waijadili mada na
kutoa mapendekezo
|
Viongozi
wa KAUKI waongoze mjadala wa mada hii.
|
04.00 – 04:30
|
Mada II: CHIMBUKO, HISTORIA NA MUUNDO WA UKOO WA
KIVENULE
(a). Washiriki wasambaziwe nakala ya muundo wa Ukoo na kisha
kuujadili na kutoa mawazo
(b). Washiriki waijadili mada na
kutoa mapendekezo
|
|
04:30– 05:00
|
Pumziko la Chai / Kahawa/Maji
|
Washiriki Wote
|
05.00-05.45
|
Mada
Inaendelea.
(c).
Washiriki waijadili mada na kupendekeza nini kifanyike kutunza kumbukumbu
hizo
(d).
Washiriki wazijadili njia mbadala za kutunza taarifa zinazohusiana na ukoo
|
Wawezeshaji na Washiriki wote
|
04.45-05.05
|
Kuwasilisha majadiliano katika Makundi
|
Washiriki wote na Wawezeshaji
|
05.05-05.30
|
Majumuisho ya yote yaliyojitokeza katika Mada
|
Wawezeshaji
|
05:30 – 06:30
|
TAARIFA YA UTENDAJI WA KAUKI
1. Mipango na Shughuli zilizokusudiwa kufanywa na
KAUKI 2012/2013;
2. Taarifa ya Utendaji kwa Ujumla;
3. Taarifa ya Mahesabu na Fedha; na Mafanikio na
Matatizo ya KAUKI
4. Matarajio ya KAUKI 2013/2014
|
Makamu
Katibu Mkuu
Mhasibu
|
06.30 – 07.00
|
TAARIFA YA SHUGHULI ZA
MAENDELEO KATIKA KANDA
1. Uhamasishaji
2. Mwitikio wa Jamii
inayounda Ukoo
3. Ushirikiano miongoni mwa wanajamii
4. Mafanikio na Matatizo
|
Viongozi wa Kanda zote
|
07.00-08.00
|
CHAKULA
CHA MCHANA
|
Washiriki
wote
|
8:00 – 8:45
|
KUSOMA RIPOTI YA MKUTANO MKUU WA SABA WA KAUKI
Kujadili Mapungufu, Kutoa Ushauri, Nyongeza
Kupitisha Ripoti
|
Katibu Msaidizi
Washiriki wote
|
08:45 – 09:15
|
Salaam
mbalimbali kutoka kwa Washiriki wa Mkutano Mkuu (Wastani watu 6 na dakika @
5)
|
Washiriki
wa Mkutano
|
09:15– 09:45
|
Pumziko
la Chai/Kahawa/Maji
|
Washiriki
wote
|
09.45 -11:00
|
Mada III: UZOEFU WA
WANAUKOO KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO
1.Kidamali/Magubike: Kilimo cha Nyanya /Tumbaku na shughuli
nyingine za kiuchumi dakika 25
2. Irole/Nduli/Itagutwa/Mgongo:
Uzoefu wa Shughuli za Kiuchumi dakika 25
3. Dar/ Morogoro/ Kilombero / Moshi dakika
15
4. Kalenga, Ifunda, Ilala Simba, Wasa, Idodi na
Nyamihuu
|
Washiriki wote; viongozi wa Kanda au wajumbe
watakaochaguliwa kutoa uzoefu wa shughuli hizo za kiuchumi
|
11.00
|
KUAHIRISHA MKUTANO
|
Mwenyekiti wa KAUKI
|
2:30 – 6:30 Usiku
|
Burudani
(Muziki wa Kisasa na Ngoma za Asili), vinywaji, kufahamiana zaidi na
kubadilisha mawazo
|
Wanaukoo
wote
|
Siku ya Pili ya
Mkutano Mkuu – Kidamali, Iringa: Tarehe 30 Juni 2013
|
||
Muda
|
Shughuli/Jukumu
|
Wahusika
|
12.00
– 12.45
|
Wageni
Wote Kuamka na Kufanya Maandalizi ya Kuingia kwenye Mkutano
|
Wote
|
12.45
– 01.15
|
Kupata
Kifungua Kinywa
|
Washiriki
wote
|
01:15
– 02:00
|
Kuwasili
Mkutanoni na Kujisajili
|
Washiriki
wote
|
02.00-02.45
|
MADA
IV: CHANGAMOTO ZINAZOIKABILI KAUKI KUJILETEA MAENDELEO
1.
Nini kifanyike kwa wana-KAUKI kujiletea Maendeleo?
2.
Mnadhani ni vitu gani vipewe Kipaumbele kwa wanaukoo kunufaika na KAUKI!
3.
Baadhi ya Malengo ya KAUKI ambayo mnayafahamu mnadhani yatasaidia kuleta
mabadiliko? Na ni kwa namna gani? Jadili
4.
KAUKI ni sehemu tu ya vikundi vingi vinavyofanya jitihada za kujiinua
kiuchumi na kimaendeleo, mnadhani ni changamoto gani tunaipata ukilinganisha
na mafanikio au matatizo ambayo yamevipata vikundi vingine? Yajadili na
kuyatoa mapendekezo hayo
|
Wawezeshaji
na washiriki wote
Mwenyekiti
wa KAUKI
|
02.45-03.15
|
Majadiliano katika
Makundi :
Kila mshiriki ajidiliane na
wana kundi kikamilifu na kutoa hoja za msingi za kujenga. Kila hoja ya msingi
iwasilishwe ila kila mwanaukoo asikie.
|
Washiriki
wote wagawanyike katika makundi
|
03.15-03.45
|
Makundi kuwasilisha hoja
kutoka katika makundi
|
Washiriki wote
|
03.45-04.30
|
Majumuisho
ya yote yaliyojitekeza katika Mada
|
Wawezeshaji
|
04:30
– 05:00
|
Pumziko la Chai /
Kahawa/Maji
|
Washiriki Wote
|
05.00-06.00
|
1. Kuibuka kwa tawala mbalimbali ndani ya Uhehe
(Wanitole, Wahabeshi, Wangazija)
2.
Chimbuko la Koo mbalimbali mkoani Iringa
3.
Mahusiano yaliyopo baina ya koo zilizoibuka wakati
wa vita za kikabila na wageni
4.
Mgawanyiko wa Koo katika Mkoa wa Iringa
|
Washiriki
wote na Viongozi wa KAUKI
|
06.00-07.00
|
MAHITAJI YA KAUKI NA JINSI YA KUFANIKISHA
KUPATIKANA KWA MAHITAJI HAYO: Huu ni mjadala wa jumla na kila mjumbe wa mkutano anashiriki moja kwa
moja kutoa mawazo yake. Katibu na watendaji wengine wa KAUKI wana jukumu ya
kuyanakili maswali na majibu yote kwa ajili ya kufanyiwa kazi
|
Washiriki na Viongozi wa KAUKI
|
07.00-08.00
|
CHAKULA
CHA MCHANA
|
Washiriki
wote
|
08:00–08.20
|
MAJADILIANO YA HOJA MBALIMBALI AMBAZO
ZIMEWASIISHWA NA WASHIRIKI WA MKUTANONI
|
1.
Ndg. Adam Kivenule
|
08:20
- 8:40
|
1.
MAJUMUISHO NA TATHMINI YA
MKUTANO
2. MIPANGO NA MIKAKATI YA MBELENI
3. KUTANGAZWA KWA TAREHE YA MKUTANO MKUU WA TISA
|
VIONGOZI
WA KAUKI
|
8:40 -
9:00
|
UCHAGUZI WA VIONGOZI
WA KAUKI
|
Washiriki Wote
|
09.00-09:15
|
SHUKRANI NA KUFUNGA MKUTANO
|
UONGOZI MPYA WA KAUKI NA MGENI RASMI
|
09:15–09:30
|
Pumziko
la Chai/Kahawa/Maji
|
Washiriki
wote
|
09:30
|
ZIARA
YA KUTEMBELEA MAENEO MBALIMBALI KWA WAGENI WOTE. Maeneo ambayo yatatembelwa ni pamoja na:
Mlafu, nk
|
Washiriki
Wote
|
No comments:
Post a Comment